hongera sweetlady kwa kuongeza miaka mingine ya kuishi hapa duniani Mungu akupe afya njema na uwe na siku njema leo na hata milele pokea kazawadi haka :A S-key::A S-key: ni ufunguo wa maisha mapya kwako na uone nuru ya mwangaza katika kial ufanyalo :A S-coffee: natangaza vita na wale wanakunyemelea kuharibu maisha yako :director:
nimeipenda hii keki cousin, natumai cousin wetu sweetlady ataifurahia
There are currently 12 users browsing this thread. (2 members and 10 guests)
fanya mpango wa lunch fasta nna njaa balaa!
Wishing my friend a beautiful day
Hopes and dreams I'm sending your way
May all be good and all come true
On this very special day for you!
HAPPY BIRTHDAY sweetlady
Msukumo wa hii vita unaletwa na nini?
Afu mkuu mbona unafanana sana sura na EMT? Au mna udugu?
Wishing my friend a beautiful day
Hopes and dreams I'm sending your way
May all be good and all come true
On this very special day for you!
HAPPY BIRTHDAY sweetlady

SPECIAL KWA AJILI YA SHEMEIO Lady doctor. Natanguliza shukrani mkuu.ndiyo sisi ni identity matwins yeye ni kulwa na mm ni doto (mbasa & sindika)
hivyo usishangae sana ndugu ndo hiivyo tena :faint2::faint2::shocked:
Amina mpendwa wangu Lady doctor!... Nashukuru sana dada binamu kwa hili li sapraizi lako ulilonifanyia daaah
Ujue toka jana tunabishana na baba kipenzi watu8 alitaka kunifanyia party nikamkataza lol... Nmeshangaa kukuta wewe umeandaa sherehe kubwa! More than thanks my dear! Mungu akubariki zaidi ya sana!
Naomba muendelee kusherehekea kwa furaha, mtoto namalizia kunywa uji kisha nakuja kuungana pamoja na wapendwa wangu wa jf!
Kila mmoja na ajisikie yuko nyumbani! Nawashukuruni sana na nawapenda wote!
Mwaaaaaaaaaaaaaaaah to you all!