*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~

*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~

Last edited by a moderator:
Amina mpendwa wangu Lady doctor!... Nashukuru sana dada binamu kwa hili li sapraizi lako ulilonifanyia daaah

Ujue toka jana tunabishana na baba kipenzi watu8 alitaka kunifanyia party nikamkataza lol... Nmeshangaa kukuta wewe umeandaa sherehe kubwa! More than thanks my dear! Mungu akubariki zaidi ya sana!


Naomba muendelee kusherehekea kwa furaha, mtoto namalizia kunywa uji kisha nakuja kuungana pamoja na wapendwa wangu wa jf!

Kila mmoja na ajisikie yuko nyumbani! Nawashukuruni sana na nawapenda wote!

Mwaaaaaaaaaaaaaaaah to you all!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom