Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amu kuna kijana mmoja mtanashati sana...nilimuona kitaa cha cc akihaha kusaka kitulizo cha roho... uran, hivi wewe na 'Valentina' mlifikia wapi? Kama vipi tupiamo kwa amu
kwani kwa 'Valentina' nimeshindwa?
Kwa vitengo vyote hivyo kweli unastahili Uolewe nawe.
aibu.....wengine tumeumbwa na soni!Shemeji kumbe na wewe muhitaji ulikuwa wapi siku zote
aibu.....wengine tumeumbwa na soni!
Imeona ee
nitamfunika na shuka....Sasa kama una soni utamchunguliaje mwenzio. Hizo ni dalili za ugumba shem
nitamfunika na shuka....
eh... ugumba tena shemegi!!!???
jamani kama huijui cc usishadadie maana nimeshaanza kupokea pm.
Plz guys this is cc.
Uuuuwiiii sasa ngoja niturnoff pm looo maana nina :faint: :faint:
watu hawajui cc daaaa am down to es :faint:
Manake tulaleeeeeeee.....au wataka tukeshe mwenzangu
amu naona jerrymsigwa anataka kuleta mahari hebu sema tuanze vikao na kitchen party mashosti tupo, mamndenyi, mabinti zangu wote, ladyfurahia, lara 1, paloma, arabela, black woman
kaka hata mie nna aibu labda tumuite Heaven on Earth atusaidie
Fumba macho basi....giza limeingia
amu....waombe hao mashosti wako uliosimamia harusi zao mshee waume...mke wangu akikubali ni pm tasavali...
yaani wewe............