Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakaa pembeni nakucheki kwa jicho la tatu
mke mwenza ulishapewa talaka?
anza sera basi nipate wifi kaka
Bandugu mwaka mpya na mambo mapya. Nataka njidhatiti na kujisajili kitengo cha ndoa jf sasa basi mwaka jana nlipata wachumba humu 2 katika hao wawili hawana sera mmoja nikambwaga live mwingi wa habari mwingine nimemuacha kimya kimya yaani hayupo romantic af dizaini hajui kuishi kisuperstar humu tokea niwe nae nimedetoriate sana humu cc.Sasa kukawa kuna mume wa mtu humu cc kanizimia sana mihela kila saa anantumia jf pesa ila akuuuuu mi mtoto wa watu naheshimu ndoa nlilelewa nkaleleka nimemkataa. Bado naendelea na mchakato nahitaji mume mwenzenu nimeshachoka kama shosti Zinduna alivyosema kitchen party ya YNNAH nimecheza sendoff ya ladydoctor nilikuwa mwenyekiti harusi ya Heaven on Earth na figganigga allias kobun nlikuwa mshika shela. Kwenye kibao kata cha Paloma nlikatika mpaka kiuno kikaenda kushoto.Na sasa ameolew aya bwana mi nipo tayari kukuoa jamani
Ukinicheki sana ntakosa pozi Dr....
hahaha....... Haya bana ngoja nigeuke mie!!
Ukinipa mgongo itanichanganya zaidi.....
heee...... Sasa nifanyeje? Nikikuangalia, unaona aibu.... Nikisema nigeuke nisikuangilie ntakuchanganya..... Mbona majangaa!
Fumba macho basi....giza limeingia
hahaha.... Nitafumbaje macho kwenye giza na wewe?