Na mie nahitaji kuolewa!!!

Na mie nahitaji kuolewa!!!

amu nahisi unatafakari mistari yangu hapo juu, ukimaliza kuja utoe conclusion hapa.

Nb:hizo ni pre-amble verses huku najipanga kutoa cream; subiri wengine wataiba verse za watu copy na kukupestia-usikubali
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana jinsi gani ulivyo mkotofi itabidi ukirekebishe tabia yako ndipo utume application.
 
Mmmh uje polepole bibie humu wapo baba zako angalia usijepata radhi.
 
hahahaha hata mimi nilikua natafuta mke .usijali mi nalekebisha mambo ya kiwa sawa ntakuambia
 
Bandugu mwaka mpya na mambo mapya. Nataka njidhatiti na kujisajili kitengo cha ndoa jf sasa basi mwaka jana nlipata wachumba humu 2 katika hao wawili hawana sera mmoja nikambwaga live mwingi wa habari mwingine nimemuacha kimya kimya yaani hayupo romantic af dizaini hajui kuishi kisuperstar humu tokea niwe nae nimedetoriate sana humu cc.Sasa kukawa kuna mume wa mtu humu cc kanizimia sana mihela kila saa anantumia jf pesa ila akuuuuu mi mtoto wa watu naheshimu ndoa nlilelewa nkaleleka nimemkataa. Bado naendelea na mchakato nahitaji mume mwenzenu nimeshachoka kama shosti Zinduna alivyosema kitchen party ya YNNAH nimecheza sendoff ya ladydoctor nilikuwa mwenyekiti harusi ya Heaven on Earth na figganigga allias kobun nlikuwa mshika shela. Kwenye kibao kata cha Paloma nlikatika mpaka kiuno kikaenda kushoto.Na sasa ameolew aya bwana mi nipo tayari kukuoa jamani
 
Last edited by a moderator:
All the best ila amu subiri bathi yangu iiishie vzr vzr ndo utangaze nia mmhhh!
 
Ngoja niongee na mama Ngina kama atakubali mke mwenza huenda nikaleta maombi kama akikubali, si ndio eh!
 
amu kuna kijana mmoja mtanashati sana...nilimuona kitaa cha cc akihaha kusaka kitulizo cha roho... uran, hivi wewe na 'Valentina' mlifikia wapi? Kama vipi tupiamo kwa amu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom