Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
upole wako jamvini naweza kukubaliana nawe.....lakini wa kule tukiwa wawili sikubaliani nawe hata kidogo:A S 13:
Mkuu....ujue dada yako ndio ananizengea
Huyo kaka yenu ni nani...mtaje tumpe darsa...anatuaibisha
hahaha haya bana siku ukihisi unanihitaj you know where to find me
Marahabaa dada yangu wa ukweli.. Huyu jamaa ni mtata.. Sipendi anavyoniumizia dada yangu..
sema haki ya Mungu
Ukiniomba radhi tutaweza kuanza upya....yote yapo ndani ya uwezo wako
Kaka wifi yangu hajarudi tu!!!!!!!!!huyu VIin asikuumize kaka I will deal with him perpendicular
Kosa langu ni lipi kwani.......au Kukupenda ndio kosa niambie nijue
Mwanamke Umbea ...........
Perpendicular by sector....
Perpendicular by sector....
Kosa lako kutokujibu ujumbe kwa wakati....kama huamini ulikosea basi potezea tu....
mwallu mambo ile makitu niliipata nitakuja PM baadaemnaanza kunikumbusha hesabu za sekondari sasa...ama mahaba yenu yako ki hesabu hesabu?
mnaanza kunikumbusha hesabu za sekondari sasa...ama mahaba yenu yako ki hesabu hesabu?
AM SORRY..........ila nilishakueleza kwa nini inakuwa hivo