Na mie nahitaji kuolewa!!!

Na mie nahitaji kuolewa!!!

mnaanza kunikumbusha hesabu za sekondari sasa...ama mahaba yenu yako ki hesabu hesabu?

Mapenzi yetu ya kipimo...linear programming yahusika kila siku...yako yapoje mwallu
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi yetu ya kipimo...linear programming yahusika kila siku...yako yapoje mwallu

Bora ni linear programming kuliko yangekua parallel lines maana wasingekaa wakutane ila wangekua sambamba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom