Na mie nahitaji kuolewa!!!

shansarie..
Mnapenda kudanganywa sio.
amu
Nitakuwa na wewe kwenye shida na raha.. Matatizo yote utaniachia mimi...

Raha ni zetu sote.. Come close mrembo.

Kwahiyo umeamua kumdanganya?
 
Last edited by a moderator:
Ulitaka uwe peke yako?? Haya endeleen nilidhan ni jukwaa huru kwa wote.alaf mtu aweza badili profile yake lakin asiwe mgen.
 
Maana unatafuta mwanamme jf?? Unajuaje uaminifu wake ? Utamchunguzaje? Unavigezo gani vinavyo kuongoza kumpata alie bora? Na je wewe unavifikia hivyo vigezo? Haya nakutia moyo endelea but its not safe at all if unamaanisha kweli unataka kuolewa.

Embu ingia humu cc kwa wk moja tu then utajua anamaanisha nini
 
Sawa nashukuru kwa ushauri wako mzuri
 
Unadhan wanawake wenzio wote walio olewa walipost mitandaoni hivi? Wenzio walikua wanajieshim na heshima ndio maana wameolewa... uko mtaan kwenu hakuna waoaji? Nadhan tabia zako aziridhishi ndio maana uolewi
 
Unadhan wanawake wenzio wote walio olewa walipost mitandaoni hivi? Wenzio walikua wanajieshim na heshima ndio maana wameolewa... uko mtaan kwenu hakuna waoaji? Nadhan tabia zako aziridhishi ndio maana uolewi

Nawewe pia ni mgeni kama lutemi ?
 
Last edited by a moderator:
measkron shansarie oneni sasa badala ya kuniita rove sakafu wa moyo asali ananiita mkuuu daa
jerry :faint: :faint:

😭😭😭😭😭😭
Jamani hii bahat ya kwanza 2014 inataka kuota mbawa mwee
 
Last edited by a moderator:
Mie nadhan unaongea fact kumbe mpo kutaniana??? Haya wakuu wa cc
 
Sasa anatwambia sie wagen hum cc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…