Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana unatafuta mwanamme jf?? Unajuaje uaminifu wake ? Utamchunguzaje? Unavigezo gani vinavyo kuongoza kumpata alie bora? Na je wewe unavifikia hivyo vigezo? Haya nakutia moyo endelea but its not safe at all if unamaanisha kweli unataka kuolewa.
Umeonae... hebu nipigie debe kidogo basi
Unadhan wanawake wenzio wote walio olewa walipost mitandaoni hivi? Wenzio walikua wanajieshim na heshima ndio maana wameolewa... uko mtaan kwenu hakuna waoaji? Nadhan tabia zako aziridhishi ndio maana uolewi
Mie nadhan unaongea fact kumbe mpo kutaniana??? Haya wakuu wa cc
Huyu nimeshamuwahi... kaa pembeni.
Ujanja sio kuwahi mzee... ujanja kupata
Utanilipa nn kazi ngumu hiyo ati yaitaji ujira
Hapa amu ndiye atakayeamua
Hatuwezishindwana bana... we fanikisha kazi
Haa aamue mara ngapi tena mkuu, we muulize uamuzi wake kama unakuhusu wewe
Nitafanya hivyo