Na mie nahitaji kuolewa!!!

Na mie nahitaji kuolewa!!!

Kubali kupokea PM maana umetangaza nia

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
amu mi mhusika namba 1 sijaja pm..kumbe kuna wadokozi wanakuja kimya kimya? Aya ya ya yaaaa

yani we acha tu kuna wakina lutemi na nani sijui wametoa povu humu sana.Tuwasamehe ptuuu
 
Last edited by a moderator:
Raha ya mapenzi sarakasi za hapa na pale...

mpaka sasa naona mpinzanii wako ni jerry afu kama unamwacha kwa mbali vile Mzee nshamtupa
 
Last edited by a moderator:
mpaka sasa naona mpinzanii wako ni jerry afu kama unamwacha kwa mbali vile Mzee nshamtupa

Hivi kumbe Jerry nae yumo... ila usijali. Hutajilaumu ukinichagua mimi...
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe Jerry nae yumo... ila usijali. Hutajilaumu ukinichagua mimi...

Nna ham yakucheza kwaito ujue embu harakisha amu mkubalie basi jamani
 
Last edited by a moderator:
Sweety umechelewa mwanzo alikuozesha measkron akarekebisha soma post ya Judgement utaelewa

Tatizo mletamada hayupo makini kujibu comments za wadau wanao demand further explaination , ndiyo maana nilishatoa maguu yangu hapa , nimerejea by ajali tu !
 
Last edited by a moderator:
amu....waombe hao mashosti wako uliosimamia harusi zao mshee waume...mke wangu akikubali ni pm tasavali...

vin d mke wako ni nani nimpe cc ya hii comment
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mletamada hayupo makini kujibu comments za wadau wanao demand further explaination , ndiyo maana nilishatoa maguu yangu hapa , nimerejea by ajali tu !

habari nlisharekebisha rejea post
 
Back
Top Bottom