Na mie nahitaji kuolewa!!!

Na mie nahitaji kuolewa!!!

Last edited by a moderator:
Mtani utakuwa umechakachua mailege.... Kilometa sifurii?
Au umeformat machine inasoma 00?
Heri ya mwaka mupya mtani.

Mtani sijachakachua mileage wala kuformat machine. amu mwenyewe tu afanye uamuzi atakuja kuthibitisha hapa kwamba ni zero kilometa.

BTW Ahsante mtani KOKUTONA na wewe kheri ya mwaka mpya.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom