Na mie nahitaji kuolewa!!!

Na mie nahitaji kuolewa!!!

unataka nitaje mapungufu yako?????? Nitakuharibia ujue.... We kubali tu ulishindwa!

usiseme my super ex....ila mbona nilikubali kuweka kota pini kupunguza ukubwa wangu downstairs.....hilo ni kosa jamani
 
jamani bado cjapata mume

Unasema..?

amu waweza hata kujibanza hapa kwa Kaizer si unajua huyo ndio mswati mwenyewe. mwaka mpya huu inabidi aongeze mwingine.......

huchemi nini tena amu?

atiiiiiiiiiiii???????????

ndio hivyo mwallu wanawake inabidi tupendane sisi kwa sisi. ubinafsi sio mzuri

women supporting women au sio?..hapo moyo utakua haujashirikishwa vizuri
wivu.com

mwallu ntakuwa mke wa ngapi kwa Kaizer ?
Cc DEMBA

kwa hesabu ya haraka haraka utakua wa nne

hamtonipiga?taarabu kwa sana nini khanga

utakuwa wa nne na wote ni dis minder, tunakupokea bila kinyongo

wivu.com kwa mswati Kaizer mbona utakuwa unajitafutia presha ya kushuka...

kwenye ilo kundi simo. DEMBA ebu wataje wake wenzio amu awafahamu

kweli ee?
kaaz kwake amu kama ataweza..asije wapindua wote

ahsanteni kwa offer yenu Ila mi nna wivu balaa ntawaletea fujo.
Ngoja nimsikilizie Tuko na Jerrymsigwa cc DEMBA

amu DEMBA na mwallu naona mnanichezea sharubu ntawatia mikwaju wote mshike adabu zenu
 
Last edited by a moderator:
Basi takununulia mgalaxy ndio haukati charge mara kwa mara ili muda wowote nikiwa nakukolu niwe nakupata.

Btw pole kwa kuumwa ingawa ulifanya siri sana meshindwa kukuletea japo machungwa.

he he ncheke mie
 
Swty... hebu tufikie conclusion bas maana naona compee inazidi...

Alafu pole sana kwa kuumwa. Ungenijulisha bana nikaja fasta

juzi nimekufamia ujue
 
hihihihihihihhiiii afu ..................mekumithiiiiiiiii ma boobooh....natamanai unioe tena hi hi hiihihihihhiiiiiiiiiii

Ohh my beib.. niko hapa mie kwa ajili yako.. Subiri wazaliwe watoto wetu nitakuowa tena na tena na tena.. Tatizo wewe hutaki nikuowe sasa hivi.. Unasema tutawachafua watoto lol..
 
Ohh my beib.. niko hapa mie kwa ajili yako.. Subiri wazaliwe watoto wetu nitakuowa tena na tena na tena.. Tatizo wewe hutaki nikuowe sasa hivi.. Unasema tutawachafua watoto lol..


banaaa njoo bathii uniwowe nownow..........kisha ntaogelea hapo magogoni mpaka ng'ambo ya pili watakuwa wesha oga!!!
 
Back
Top Bottom