Unataka kusema sio mchoyo kabisa??huyu mtu aliishia cha wapi...dada la dada, fujo kibao mbinu kibao!!
yeye, ukiwa mstaarabu tu umemnasa...au ukijua kuongea kiinglish kwisha habari yake...[emoji12]
Poleni.Kuoa haraka haraka kulituminyia burudani sana
Naona haelewi matumizi ya neno ushamba huyu kaka [emoji2][emoji2]Ahahah
Jimena alikukataa mazima?Kuoa haraka haraka kulituminyia burudani sana
Mshamba huyo msukuma kaka. Kuongea kuvaa acha tu. Nashangaa wanawake humu anawapatajeMkuu wewe sio mshamba labda Baba swalehe[emoji13]
Itakua [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwani ndio anaongoza?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu wewe sio mshamba labda Baba swalehe[emoji13]
Ahahahahahah unamuonea kabisa kuna watu umewaacha daby anaweza shika namba 5 labda
Nakataa. Halafu wanasema wewe ndo unaongoza. Wivu utanimaliza ujueWa kila kitu!
WeeeeeeWa ile kitumbua[emoji23]
Huyu kaboo, itabidi nimuongeze kwenye list ,aanatazamika?Siwez nampenda sana
Mpaka sasa bado uko kwenye nafasi ya juu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] niko Arizona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wamekutaja wenyewe...nini siri ya hawa watu kujileta aisee...kuna watu mnafaidi sanaAh wapi!
Mnanisingizia tu.
Nikikwambia unitajie hao mademu wangu si ajabu ukanitajia FaizaFoxy, Lara1, Sekretari wa TMT, na vinuka mokojo wengine wasionipenda!