Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Ametofautishaje harifu ya pumbu au soksi au alikuwa amenusa nyeti za sharobaro maana msibani kuna mengi inawesekana ninharufu ya mazingira ya msibani ila we mama kiboko Jamani harufu ya pumbu ikoje
 
Mhusika yuko humu?!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaweka Avatar ya kuwavutia wamekausha, mada za kuwatega ajabu wamefunga vioo, baada ya wiki anakuja na mada ya vibamia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] stress mbaya sana mdogo wangu usiombe yakukute
 
Mada ni nini hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikafikiri nn mm tu sijaelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga tunafata msemo wa "Chema chajiuza, kibaya chajitembeza".

Ukiona hizi invitation za kulazimishana ndo kujitembeza kwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23] msaidieni jamani ukiona mtu mzima analia kuna jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…