Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Eeh heading kwanza leo. Ili apate support ya wadada kuelimisha wakaka.
Siku nyingine ndiyo sisi ili apate support kwa wakaka.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] sasa ya leo amefanya Uzi upooze ka uji wa mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mchanyato sio poa kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inaitwa utajitafuta na kujijua mbele ya safari. Kama elimu yetu tu, unasoma vitu kibaaao mwisho wa siku unajitafuta.
 
Na alisema yuko very smart maana wanawake wa zamani hamna zoba.
 
Kaweka Avatar ya kuwavutia wamekausha, mada za kuwatega ajabu wamefunga vioo, baada ya wiki anakuja na mada ya vibamia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliseka avata inawavutia wasomaji wasome mada. Bila hivyo hawaji, mwanaume wa zamani ana shida huyu.... ooops mwanamke wa zamani ana shida huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…