joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wacha kujitia vidole na kucheka cheka...... Usijichanganye buda, Loss inaendana na faida, Debt inaendana na Equity..... Wakisema loss imepungua kutoka 38B hadi 16B haimaanishi kwamba madeni yamelipwa!!!!!! inaanisha kwamba kitambo mlikua mnapata loss ya 38B kwa mwaka na sahii bado mnapata loss lakini ni ya 16B kwa mwaka........ Kwahivyo hamjatengeneza faida yoyote na hio kampuni bado haina uwezo wa kulipa madeni!!!!!! Hebu sasa cheka tukuone!Hahahahaha, mumeanza kuweweseka, poleni sana, mtaendelea kuweweseka sana, Tanzania inasonga mbele. Repoti ya CAG imesema hivi;
1) Kuanzia mwaka 2005 hadi 2017 ATCL ilipata hasara ya TSh 38B, hiki ni kipindi ambacho ATCL ilikua na ndege mbili chakavu, moja ilikuwa sio ya ATCL.
2)Katika kipindi cha kuanzia 2017 hadi 2018, ambacho ndio kipindi cha ukaguzi, sasa hivi ATCL hasara iliyobaki ni Tshs 16B, hii maana yake ni kwamba 48% ya deni limelipwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa hizo ndege mpya kuanza kufanya biashara.
3) Kwa hesabu za haraka, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, ndege za ATCL zimetengeneza zaidi ya Tshs.12B, ambazo zimelipa deni la nyuma, deni lililobaki ni 16B.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa akili zako hizi, kazi ya mkaguzi ni kuzuia rushwa??Hahahahaha, kungekuwa na mkaguzi jasiri, Kenya isingeongoza duniani kwa rushwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka tatu ndege zime chapa faida tupu..bombadia kazaa dirimulaina, dirimulaina kazaa airbus mbili..KQ miaka 50 ni tasa, zile ndege za 1977 bado zipo 3, zinaliwa tu na mafisadi😂😂😂
Hahahahaha, mumeanza kuweweseka, poleni sana, mtaendelea kuweweseka sana, Tanzania inasonga mbele. Repoti ya CAG imesema hivi;
1) Kuanzia mwaka 2005 hadi 2017 ATCL ilipata hasara ya TSh 38B, hiki ni kipindi ambacho ATCL ilikua na ndege mbili chakavu, moja ilikuwa sio ya ATCL.
2)Katika kipindi cha kuanzia 2017 hadi 2018, ambacho ndio kipindi cha ukaguzi, sasa hivi ATCL hasara iliyobaki ni Tshs 16B, hii maana yake ni kwamba 48% ya deni limelipwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa hizo ndege mpya kuanza kufanya biashara.
3) Kwa hesabu za haraka, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, ndege za ATCL zimetengeneza zaidi ya Tshs.12B, ambazo zimelipa deni la nyuma, deni lililobaki ni 16B.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kujitia vidole na kucheka cheka...... Usijichanganye buda, Loss inaendana na faida, Debt inaendana na Equity..... Wakisema loss imepungua kutoka 38B hadi 16B haimaanishi kwamba madeni yamelipwa!!!!!! inaanisha kwamba kitambo mlikua mnapata loss ya 38B kwa mwaka na sahii bado mnapata loss lakini ni ya 16B kwa mwaka........ Kwahivyo hamjatengeneza faida yoyote na hio kampuni bado haina uwezo wa kulipa madeni!!!!!! Hebu sasa cheka tukuone!
Clearly haujawai kusoma AG report ya Kenya, Ndani ya hizo ripoti hua ziko very detailed hadi utaambiwa kama waziri alifanya nini akiwa chooni...Hahahahaha, kungekuwa na mkaguzi jasiri, Kenya isingeongoza duniani kwa rushwa, kama kawaida kupenda SIFA za kijinga wakati nchi inazidi kutafunwa na mafisadi. Muache ujinga wenu wa kijinga, mnapaswa kuja Tanzania kujifunza namna tunavyopambana na ufisadi, bahati nzuri Uhuru Kenyatta ameshaanza kumuiga Magufuli kwa kuanzia na watumishi hewa serikalini, Magufuli hoyeeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuna faida gani ya CAG kutoa ripoti nzuri lakini bado pesa za wananchi zinaendelea kutumiwa vibaya na kuibwa?Clearly haujawai kusoma AG report ya Kenya, Ndani ya hizo ripoti hua ziko very detailed hadi utaambiwa kama waziri alifanya nini akiwa chooni...
Sample:
Rental Expenditure at Kenya Missions and Embassies
178.2.1 Bangkok, Thailand
Examination of records maintained at Kenyan Embassy in Thailand revealed that the
former Ambassador returned to Kenya in July 2013. The embassy, however, continued
paying rent for the house previously occupied by him. As a result, an amount of
Kshs.8,700,000 had been paid as of 31 July 2014 for the unoccupied rental premises.
178.2.2 Seoul , South Korea
Similarly, at Kenyan Embassy in South Korea, an officer returned to Kenya on 31
December 2016 and the house which was occupied by the officer continued to attract
quarterly rent amounting to Kshs1,111,980 despite being vacant. The embassy has so
far incurred rental expenditure totalling Kshs.2,223,960 for the duration that the house
has remained vacant.
Ingia katika website ya Airtanzania, jaribu kuulizia tickets ya route yoyote uone utapata ya siku ngapi in the nearest future?. Siku hizi hakuna kudanganyana.Kupika data kama kawaida.
Ndege ambazo hulala airport most of the time, badala ya kupaa angani, sasa zinasemekana zina faida.
Why don't you go the Kenyan way and release your audited books.
Leo la ukaguzi wa hesabu ni lipi?Hivi kwa akili zako hizi, kazi ya mkaguzi ni kuzuia rushwa??
kama wewe ndio tegemeo la wanaLUMUMBA, watakua na taabu si haba.
hakuna kitu umeonyesha hapo, nilishasema wamesema lossimepungua kutoka 38B hadi 16B....... Hakuna mahali wamesema eti deni limelipwa kama vile unavyo dai...Soma hiyo ripoti acha uzwazwa, sasa kama CAG amesema hivyo, wewe ni nani kumpinga?, ndio sababu ninyi mpo katika kundi la failed state, mnajifanya wajuaji lakini hamna mnalojua.ATCL yapunguza hasara takriban asilimia 50-Ripoti
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebainisha kuwa mashirika 14 ya umma yana matatizo ya kifedha na kupata hasara hadi kusababisha madeni zaidi ya mitaji yao kwa zaidi yamobile.mwananchi.co.tz
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe unafikiri lengo ni lipi?
Endelea kushabikia sinema za "makinikia" gawio la faida ukilipat ndo utajua "mbichi na mbivu!"Hahahahaha, mumeanza kuweweseka, poleni sana, mtaendelea kuweweseka sana, Tanzania inasonga mbele. Repoti ya CAG imesema hivi;
1) Kuanzia mwaka 2005 hadi 2017 ATCL ilipata hasara ya TSh 38B, hiki ni kipindi ambacho ATCL ilikua na ndege mbili chakavu, moja ilikuwa sio ya ATCL.
2)Katika kipindi cha kuanzia 2017 hadi 2018, ambacho ndio kipindi cha ukaguzi, sasa hivi ATCL hasara iliyobaki ni Tshs 16B, hii maana yake ni kwamba 48% ya deni limelipwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa hizo ndege mpya kuanza kufanya biashara.
3) Kwa hesabu za haraka, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, ndege za ATCL zimetengeneza zaidi ya Tshs.12B, ambazo zimelipa deni la nyuma, deni lililobaki ni 16B.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nionyeshe ni wakubwa wangapi wamefungwa huko Tz kwasababu ya uizi wa mali ya umma?Sasa kuna faida gani ya CAG kutoa ripoti nzuri lakini bado pesa za wananchi zinaendelea kutumiwa vibaya na kuibwa?
Tofauti kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Kenya mnapenda sana kuonyesha dunia kwamba mambo yenu ni mazuri katika maeneo mengi, wakati on the ground, mambo ni opposite kabisa, huku Tanzania ni kinyume chake.
Sent using Jamii Forums mobile app
break even may take agesTumenunua ndege 7 tukitumia faida ya miaka tatu..nyingine mbili zipo njiani..kwani CAG alifikiria atapata faida yetu ipo benki imekaa tu hovyo?
Unamjua yule Mhindi Seith, ambaye alikua huko Kenya kwa miaka mingi sana, serikali ya Kenya aliiweka mfukoni mwake, sasa hivi huu ni mwaka wa pili yupo mahabusu.Hebu nionyeshe ni wakubwa wangapi wamefungwa huko Tz kwasababu ya uizi wa mali ya umma?
Ingia katika website ya Airtanzania, jaribu kuulizia tickets ya route yoyote uone utapata ya siku ngapi in the nearest future?. Siku hizi hakuna kudanganyana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumenunua...faida yetu....Tumenunua ndege 7 tukitumia faida ya miaka tatu..nyingine mbili zipo njiani..kwani CAG alifikiria atapata faida yetu ipo benki imekaa tu hovyo?
Tatizo lako wewe umeamua kuwa mjinga, kwa hiyo hao wana CCM kazi yao ni kusafiri tu. Kwa taarifa yako, juzi kulikua na mawaziri wslionunuliwa ticket na wizara zao husika ili kuhudhuria sherehe za Uhuru Dodoma, Magufuli alipipata habari, alitoa AMRI wasiende, na hiyo pesa ya ticket irudishwe serikalini.Nimeangalia. Flight mbili za leo 6pm na 7pm ziko na viti.
Flight za kesho zimejaa viti
Flight za kesho kutwa zimejaa viti.
Hakuna flight haina nafasi. Na kama nilivyosoma huko Jukwaa la siasa ni kweli, wanaofanya bookings majority ni wanaCCM au wakuu wa serikali, ambao hawalipi nauli yote.
Hii ndio screenshot ya leo. Kenya Airways nina uhakika hauwezi pata kiti cha last minute kama unavyoona ATCL.
View attachment 1068723
Hebu nionyeshe ni wakubwa wangapi wamefungwa huko Tz kwasababu ya uizi wa mali ya umma?