joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahahaha, kungekuwa na mkaguzi jasiri, Kenya isingeongoza duniani kwa rushwa, kama kawaida kupenda SIFA za kijinga wakati nchi inazidi kutafunwa na mafisadi. Muache ujinga wenu wa kijinga, mnapaswa kuja Tanzania kujifunza namna tunavyopambana na ufisadi, bahati nzuri Uhuru Kenyatta ameshaanza kumuiga Magufuli kwa kuanzia na watumishi hewa serikalini, Magufuli hoyeeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app