'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report


Enda ukaambia wenzako Jukwaa la siasa.
Nilisema tu chenye nilisoma huko.
 

Hakuna rangi ya ndege ya Tsh5 million. Kupaka ndege rangi ni zaidi ya $100,000 usd.
Rais wenu muongo alimdanganya ili muendelee kumpa sifa.

Kama anavyo mdanganya mambo hayo mengine yote. Vile tu alimdanganya kwamba ATCL inaleta faida.

Watu wanojifanya wasomi kama wewe na kumbe umekataa kutumia akili yako mwenyewe. Tanzania mko matatani.
 
Ficha aibu, Th report is very clear

net operating loss has decreased from TZS 38.72 billion in 2015/2016 to TZS 16.21 billion in 2016/2017,

Hapo hawajataja carry-forward wala nini, The net loss for FY2015/16 ilikua ni 38B na net loss in FY2016/17 ilikua ni 16B.... Hapo tunaongelea hasara kati ya mika miwili full year performance, Kama kuna chochote kilikua forwarded to 2018, basi hizo ni hesabu za 2018..... tunachoongelea hapa ni kile ambacho kiko kwa ripoti...... Sasa wewe unataka kuanza kuchanganya Profit/Loss na Hesabu za debt, wacha kujiundia dunia yako....... ATCL inatengeneza loss ilhali haimiliki ndege yoyote!
 
Hebu leta ushahidi, wacha kujitungiia story zaidi!!!!
 
Shule ni muhimu sana
 
Obsession with Tz mpaka una download majedwali ya CAG wao😆😆
Haya mzee...Hiyo inaitwa book value loss..Ukitaka kuona profit angalia Ndege ngapi Tz wamenunua kutumia pesa zao😂😂
Tehehehee. Pwahahahaa. Pwahahahaa. I didn't know you are this silly until today
 
Tatizo ni kwamba Watanzania hata hawajui kama wako na shida.... Nchi yenye rotuba na kila aina ya madini bado mko LDC lakini hamuoni kama mko na shida... Unajua ufisadi si kuiba pesa tu,Ufisadi uko na same effect ya kuandika viongozi wa serekali amba ni wavivu,wajinga....etc
 
BTW hio 16 Billion Tsh Operating loss ni sawa na $7Million USD, KQ ilikua na operating loss ya $183Million in 2015, in 2016 Operating loss ilikua imepungua hadi $40Million, in 2017 KQ's Operating loss ilikua $8.9 Million!!!!!!!!!
That was the loss before factoring in Tax deductions and other costs




Kwahivyo tukitumia hio Logic yako ambayo umejaribu kujitengezea I guess KQ tulipata faida kubwa ndani ya miiaka mitatu manake tulitoka operating loss ya $183Million hadi $8.9Million!!!!!!
 
Hahahahaha, hakuna rangi ya ndege chini ya $100,000?, hiyo ni huko Kenya mliozoea wizi na kuibiwa, ndio sababu rushwa haiishi, onyesha hiyo $100,000 umeipata wapi na umeijuaje kama sio athari za rushwa zilizozidi katika vichwa vyenu, ndio sababu nchi yenu madeni yabaongezeka na scandals kila siku zinaibuka.

Ona tofauti kati ya Kenya na Tanzania, wakati Tanzania tunalalamika kwamba tunatumia pesa kidogo sana kwa kazi inayohitaji pesa nyingi, huko Kenya tatizo ni miradi kutumia pesa nyingi zaidi kuliko uhalisia, Tanzania na Kenya ni sawa na mbingu na ardhi katika jambo la rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…