Wewe una matatizo ya akili, huwezi kuelewa hisabu za kiuhasibu, ngoja tukufundishe " Just basic principles of book keeping"
Kuna kitu kinaitwa "BF", Balance carrying Forward, hii maana yake kila mwisho wa mwaka wa biashara yako, unafunga mahesabu na unatafuta tofauti kati ya mapato na matumizi, yakiwemo madeni uliyokopa, kama tofauti ni Plus( +), maana yake umepata faida, kama ni negative,(-), maana yake ni hasara.
Hii balance utaingia nayo katika mwaka ujao, endapo huo mwaka ujao revenue zitakuwa kubwa hadi kufidia hasara uliyoingia nayo mwaka huu wa biashara, hiyo itaonekana katika BF ya mwisho wa mwaka huu.
BF ina athiri saba " BD" Balance brought down, ambayo kwa kifupi ndio mtaji unaoanza nao kila mwaka wa biashara. Kama umeanza na madeni( Negative BD), inamaana mwaka unaofuata, faida itakayopata lazima ifidie kulipa hiyo hasara ya nyuma.
Kumbuka ATCL haijawahi kuwa muflisi, kwa hiyo vitabu vyake vya hesabu ni vile vile kuanzia tangu ilipoanzishwa, ni muendekezo wa shirika lilelile. Hii hali ndiyo inayotokea hata kwa KQ, ninakushangaa kushindwa kuelewa kitu kidogo kama hiki.
Sent using
Jamii Forums mobile app