'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report

Kwa hiyo una maanisha CAG amedanganya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujui lolote kuhusu mambo ya accounting unapiga Kelele tu hapa
Angalia hapa chini

2006........... BF $500M

January 2007......BD $500M
Dec. 2007........BF $300M
Hii maana yake ndani ya kipindi cha biashara cha miezi 12 toka January hadi Dec.2007, shirika limepata hasara ya $200M.

January 2016....BD ($-38B)
Dec. 2016.....BF($-16B)
Hii maana yake, ndani ya kipindi cha miezi 12 , shirika limetengeneza revenue ya $12B, ambavyo imetumika kupunguza hasara tuliyoanza nayo January 2016($-38), hadi kufikia hasara iliyobaki mwishoni mwa mwaka amvayo ni $-16B.

Hii revenue iliyopatikana ya $12B, huwezi kuiita faida kwasababu huwezi kuitumia kama capital, kwasababu sio Mali ya shirika, lazima shirika lilipe madeni yote ndio lianze kutengeneza faida.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo una maanisha CAG amedanganya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ninayosema ndicho CAG alichokisema, tofauti CAG anatumia lugha ya kiuhasibu, wakati wengi WETU tunatumia lugha ya kawaida ndio sababu kunakutokuelewana, sawa sawa na mtafaruku wa lugha kati ya Ndugai na CAG. CAG anatumia lugha ya kiuhasibu wakati ndugai anatumia lugha ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kawaida ya ATCL(Any Time Cancellation Limited) ndege zinasafiri na abiria wachache. Alafu muda wowote ule abiria wanaweza wakashushwa ghafla ili ndege liende likapigwe rangi. [emoji1]
 
Obsession with Tz mpaka una download majedwali ya CAG wao[emoji38][emoji38]
Haya mzee...Hiyo inaitwa book value loss..Ukitaka kuona profit angalia Ndege ngapi Tz wamenunua kutumia pesa zao[emoji23][emoji23]
Mkuu mm mbngo mwnzio,kwa hz data nieleweshe how are we running on profit?

Sent using Brain
 
Obsession with Tz mpaka una download majedwali ya CAG wao😆😆
Haya mzee...Hiyo inaitwa book value loss..Ukitaka kuona profit angalia Ndege ngapi Tz wamenunua kutumia pesa zao😂😂
Boss ....Just stick to economics.... Accounting/finance matters make you look so illetrate ..... You are so out of your depth....ondokea tu!!!
 

😂😂😂 Revenue ya $12B.. Unaiyona ATCL ni Apple?

Ata upishi wa data unahitaji ujanja.
Hizi ndizo hasara zenu. Na sio ATCL tu, kampuni zote za serikali yenu ni hasara tupu.

 
I always told idiots like joto la jiwe here, no airline can run on the taxpayer's money. An airline is supposed to run on its own revenue and any money from the government should be treated as a loan that should be repaid by the airline. Meanwhile the clueless bongolalas like eliakeem REDEEMER. Geza Ulole et al were all celebrating eti tunazinunua wenyewe na pesa yetu. What load of crap.
 
Revenue ya 12 billion usd wakati gdp yenu ni 50 billion usd.?...tourism inawaletea usd 1 billion.. Buda ulirogwa ama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
What about ET?, the truth is Kenyans will continue doing badly in every sector except marathon runners because of you behaviour of stupidity, a stup person thinks he knows everything.

The reality is ATCL is making "profit", and will continue doing so, after two and half years of paying back the loses it will start counting the profit.

It is only stupid people like you Kenyans who have failed in every projects of your country, now you think every country is a failed state like Kenya. Tanzania has got smart president who can never entertain failures and loses like Uhuru Kenyatta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What about ET?, the truth is Kenyans will continue doing badly in every sector except marathon runners because of you behaviour of stupidity, a stup person thinks he knows everything.
Ethiopia doesn't run on the taxpayers money idiot. And you are not Ethiopia.

How is Kenya doing badly when we are doubling your economy? You are the ones who are stupid.

The reality is ATCL is making "profit", and will continue doing so, after two and half years of paying back the loses it will start counting the profit.

Thank you for confirming it's "profits" and not profits.


Let's not even go to other failed projects in Tanzania. Let's just focus on your ATCL that after using the taxpayer's money to buy new planes, it's making loses and planning to sell the planes to Kenya Aiways at a throwaway price.
 
Profit gani mmemake na last year mlikiwa na loss ya 16 billion?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania got a lying President who continuously lies for its citizen. Mnadanganywa ati uchumi wenyu unakuwa kwa asilimia 7 kumbe ni 4%, mnadanganywa ATLC imetengeneza profit kumbe iko na loss kuliko GDP yenyu, mnadanganywa ninyi ni nchi ya viwanda kumbe hata pesa za kuanzisha hivo viwanda hamna. Mnazindua projects hewa, mnanunua sare za polisi hewa. Pesa zinaenda mfukoni wa Mr Kiparangoto na nyinyi mmezubaa tu hapo Tandale, loliondo na Mbagala mnamwabudu dikteta.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ripoti mimi pia nimeisoma lakini nadhani uelewa wetu ni tofauti.
 
Uhuru kenyatta: Ladies and gentlemen, what do you want me to do.....[emoji57]

Even their prezo has no idea what the hell is wrong with Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili wenye akili wamelizungumza sana lakini kwa sababu ya one man show yanatufika haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…