Na Pesa Yetu.. This is Why You Don't Buy Planes in Cash

Na Pesa Yetu.. This is Why You Don't Buy Planes in Cash

Wivuuu, kwasababu ninyi hamna uwezo wa kununua ndege, mnataka na sisi tuwe kama ninyi sio?. Mwanzoni mlisema ATCL ni serikali, na serikali haipaswi kufanya biashara tuige mfumo wa KQ, ghafla serikali yenu ikaamua kuiga mfumo wa ATCL kwa kulirudisha KQ serikalini.

Ngoja nikuhorodheshehe mashirika ya ndege ambayo yamenunua ndege, sio kukodisha.
1) Ethiopia Airways
2)British Airways
3)Emirates
4)KLM
5)Turkey Airway
6)Qatar
7)SAA
8)Lufthansa
9)Swis Air
10)Singapore Airline

Mashirika yote haya yamenunua ndege zake wenyewe. Hahahaha, Hahahaha.
Gani Kati ya hizo wamekamatiwa Ndege zao na Nchi nyingine kwa sababu ya Madeni???😂😂😂 Canis lupus...hapa huna jibu mwaga povu.
 
Ethiopia ni developed?, stupid person from failed state.
After Kenya ni Ethiopia hapa EAC yani biggest economy...nyie mlitupwa namba 3 from 2nd...na mkiendelea hivi, naona Rwanda wakiwapiku 😂😂😂 Dead State...

ATCL mshaikomboa?
Safari za Joburg zimepotea tu hivo?😭😭
 
Msipofuata sheria za Tanzania tutaendelea kuchoma vifaranga, kutaifisha mifugo yenu na kuwafurusha wakenya wanaoishi nchini bila vibali husika, na hamuwezi kutufanya lolote.

Acacia tumempa bill ya $190B, alipoleta ujanja tumemfurusha nchini, sasa hivi mazungumzo wanaendelea na Boss wake kuona watalipaje, kumbuka tayari Barric wamekubali kulipa $300M kama dalili ya kuonyesha kutaka maridhiano.

Huko Kenya wazungu wanawapiga risasi wakulima na wafugaji wanapokaribia mashamba yao na serikali haiwezi hata kuwagusa, Tanzania ni nchi huru , "Kenya not yet Uhuru".
Wakombozi wa Afrika wanakumbushwa huwezi mnyang'anya mtu Mali yake afu ufikiri mambo yatakuwa sawa...leteni ATCL hapa Kenya tuitaifishe 😭😭
 
Gani Kati ya hizo wamekamatiwa Ndege zao na Nchi nyingine kwa sababu ya Madeni???[emoji23][emoji23][emoji23] Canis lupus...hapa huna jibu mwaga povu.
Gani kati ya hizo ina ndege 3 kwa miaka 50 ya kufanya biashara?
 
Wakombozi wa Afrika wanakumbushwa huwezi mnyang'anya mtu Mali yake afu ufikiri mambo yatakuwa sawa...leteni ATCL hapa Kenya tuitaifishe [emoji24][emoji24]
Ile ardhi mliyowapora wananchi wenu mkawapa Del Monte alime mananasi lakini chakula mnakuja kutupigia magoti, mtairudisha lini kwa wananchi?
 
After Kenya ni Ethiopia hapa EAC yani biggest economy...nyie mlitupwa namba 3 from 2nd...na mkiendelea hivi, naona Rwanda wakiwapiku [emoji23][emoji23][emoji23] Dead State...

ATCL mshaikomboa?
Safari za Joburg zimepotea tu hivo?[emoji24][emoji24]
Ethiopia ni biggest economy in terms of GDP in purchasing power parity.
Lakin in terms of GDP per capita income Ethiopia ni miongoni mwa poorest nations,Africa Ethiopia ni ya 33, kenya ikiwa ya 24 na Tanzania ikiwa ya 26.
 
Biggest Economy with:
1)Biggest dept/GDP ratio 60%
2)Biggest unemployment ratio 48%
3)Biggest poverty level 42%
4)Biggest slums in Africa
5) Biggest gap between poor and rich
6)Most hungry nation in Africa
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.
 
Wakombozi wa Afrika wanakumbushwa huwezi mnyang'anya mtu Mali yake afu ufikiri mambo yatakuwa sawa...leteni ATCL hapa Kenya tuitaifishe 😭😭

Mbaya zaidi wananyang'anywa na mkulima, ila kwa kweli ni aibu hadi noma. Ndio nchi pekee dunia hii kupitia aibu za namna hii.
Kuna hawa Symbion wamejitokeza, wanadai hela ambayo inaweza kughaarimu ndege zote za ATCL

Wanaomzunguka JPM wana matatizo kwenye taaluma ya uchumi, hawamshauri ipasavyo, siku zote kwenye biashara haufai kutumia pesa taslimu kwa kitu usichokihitaji, lazima ujue jinsi gani ya kugawa hela yako, sio unajigamba gamba kwa watu kwamba unanunua kila kitu kwa pesa taslimu, wanaokudai watatiririka hadi utakoma.

Hizi aibu ndogo ndogo za ndege kukamatwa, mara nyngine ikakamatwa na mabeberu Canada, hujatulia baada ya kuilipia nyingine imekamatwa na mkulima, sasa wameshapata jeuri na ujanja.
I don't get it, for a poor country such as Tanzania why outright invest significant amount of capital on what is essentially a depreciating asset?
 
I don't get it, for a poor country such as Tanzania why outright invest significant amount of capital on what is essentially a depreciating asset?
But you understand well for a Lower middle Income country to fail to finance a single kilometer of its SGR.

Can a poor country be able to finance bid electric dam worth $3B, or its SGR worth $3.2B?. If that country managed to pay for these major projects and you are not surprised, how come are you surprised ATCL planes which costed only $800M?.
 
Ile ardhi mliyowapora wananchi wenu mkawapa Del Monte alime mananasi lakini chakula mnakuja kutupigia magoti, mtairudisha lini kwa wananchi?

Ardhi ya serikali. Hakuna aliyeporwa.
Del Monte inaifanyia kazi. Largest pineapple plantation this side of the Sahara. Thousands employed. Billions in pineapple and pineapple products exports.

Nyinyi mnawapora wawekezaji kwa sababu ya siasa. Ili rais awadanganye kwamba anafanya kazi. Ardhi inakaa bila kufanyiwa kazi. Tanzania inaendelea kuwa LDC.
 
But you understand well for a Lower middle Income country to fail to finance a single kilometer of its SGR.

Can a poor country be able to finance bid electric dam worth $3B, or its SGR worth $3.2B?. If that country managed to pay for these major projects and you are not surprised, how come are you surprised ATCL planes which costed only $800M?.

Hii mtarudia mpaka mchoke. Omba omba wenu na maskini wenu wamejazana hapa Kenya, for their greener pastures.

SGR tunalipa, tunalipa kila mwaka.

Ndege tatu zitaweza kubeba watu chini ya 100,000. Most of the time ziko empty. Huo ni ujinga kwa nchi inayoongoza namba tatu ulimwenguni kwa umaskini.
 
But you understand well for a Lower middle Income country to fail to finance a single kilometer of its SGR.

Can a poor country be able to finance bid electric dam worth $3B, or its SGR worth $3.2B?. If that country managed to pay for these major projects and you are not surprised, how come are you surprised ATCL planes which costed only $800M?.
Where are those days and are they working?

Is your SGR complete and Working?

Why is Your plane being held by one individual over unpaid dues? Kama man pesa mkaikwamue hiyo Ndege leo...canis lupus.
 
Ethiopia ni biggest economy in terms of GDP in purchasing power parity.
Lakin in terms of GDP per capita income Ethiopia ni miongoni mwa poorest nations,Africa Ethiopia ni ya 33, kenya ikiwa ya 24 na Tanzania ikiwa ya 26.
All in all my point is quite clear kwamba hamna popote mpo juu ya Kenya...refer to your statement above.
 
Biggest Economy with:
1)Biggest dept/GDP ratio 60%
2)Biggest unemployment ratio 48%
3)Biggest poverty level 42%
4)Biggest slums in Africa
5) Biggest gap between poor and rich
6)Most hungry nation in Africa
Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.
Statistics straight up your ass...afu angalia hata US, Japan na Nchi zingine zilizoendelea kimaendeleo kuwaliko(yani non- LDC Countries including Kenya) Debt to GDP ratio ipo more than 50%.

Rich Counti Kama Tz Ndege Yao inakamatwa na mtu binafsi kwa deni hamjalipa??? Canis lupus.

Kuna swali langu hukujibu bana...ulisema wanafunzi wa Kenya wanavuka border kusomea shule za Danganyika? ..week ushahidi ama povu😂😂😂
Weka Kama Hii

Ethiopia leases most of its planes. Like other countries with brains.
Hahahaha, they wouldn't be able to reach that level, out of its 100 planes, less than 15 are leased planes, put your records clear, it is only a stupid country like Kunya land which can operate a business with 93% leased planes.
 
Back
Top Bottom