Na sisi Yanga tukikua tutacheza Mpira kama Simba

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba.

Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua itacheza kama ninyi. Nyie si mnajidai sababu mmecheza na team kubwa kubwa Africa.

Mnacheza kwa dharau na kujisikia sana. Sijui huu mpira ninyi mmejifunzia wapi. Lakini siyo kesi. Ipo siku nasi team yetu ya Yanga itakuwa kubwa. Itacheza kama ninyi. Tutafurahi.

Kila siku nasema hivi, natamani nasi tukue tuje cheza kama Simba.
 
Mpira wa kutolewa na Kaizer inayokaribia kushuka daraja?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Huwezi kutolewa kama hukuingia. Sisi Yanga tulikuwa tunashiriki mashindano gani? Ile match ya jana na Mwadui kwa lile goal la kununua Mwadui ipo nafasi ya Ngapi? Unadhani kama tusingekuwa tumeongea na kipa jana tungekuwa na hali gani?
 
Mpira wa kutolewa na Kaizer inayokaribia kushuka daraja?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kaizer Wa Bongo
FB_IMG_16216875149162071.jpg
 
Hamuwezi kukua wakati viongozi na mashabiki wote ni mabox.
 
Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba.

Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua itacheza kama ninyi. Nyie si mnajidai sababu mmecheza na team kubwa kubwa Africa.

Mnacheza kwa dharau na kujisikia sana. Sijui huu mpira ninyi mmejifunzia wapi. Lakini siyo kesi. Ipo siku nasi team yetu ya Yanga itakuwa kubwa. Itacheza kama ninyi. Tutafurahi.

Kila siku nasema hivi, natamani nasi tukue tuje cheza kama Simba.
Ili Yanga ikue inatakiwa uongozi wote pamoja na GSM yao watoke. Kisha waingie wawekezaji watakaojua mpira, falsafa ya mpira, fitna za mpira na wenye uweledi wa kufanya usajili na kutoa pesa.
 
Back
Top Bottom