Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba.
Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua itacheza kama ninyi. Nyie si mnajidai sababu mmecheza na team kubwa kubwa Africa.
Mnacheza kwa dharau na kujisikia sana. Sijui huu mpira ninyi mmejifunzia wapi. Lakini siyo kesi. Ipo siku nasi team yetu ya Yanga itakuwa kubwa. Itacheza kama ninyi. Tutafurahi.
Kila siku nasema hivi, natamani nasi tukue tuje cheza kama Simba.