Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Huwezi kutolewa kama hukuingia. Sisi Yanga tulikuwa tunashiriki mashindano gani? Ile match ya jana na Mwadui kwa lile goal la kununua Mwadui ipo nafasi ya Ngapi? Unadhani kama tusingekuwa tumeongea na kipa jana tungekuwa na hali gani?Mpira wa kutolewa na Kaizer inayokaribia kushuka daraja?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kaizer Wa BongoMpira wa kutolewa na Kaizer inayokaribia kushuka daraja?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Timu zilizokamilika zinaendelea na mashindano ya Afrika.Kusema ukweli bila ushabiki Simba wamekamilika aisee!
Ili Yanga ikue inatakiwa uongozi wote pamoja na GSM yao watoke. Kisha waingie wawekezaji watakaojua mpira, falsafa ya mpira, fitna za mpira na wenye uweledi wa kufanya usajili na kutoa pesa.Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba.
Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua itacheza kama ninyi. Nyie si mnajidai sababu mmecheza na team kubwa kubwa Africa.
Mnacheza kwa dharau na kujisikia sana. Sijui huu mpira ninyi mmejifunzia wapi. Lakini siyo kesi. Ipo siku nasi team yetu ya Yanga itakuwa kubwa. Itacheza kama ninyi. Tutafurahi.
Kila siku nasema hivi, natamani nasi tukue tuje cheza kama Simba.
Hufatilii football. Endelea kufatilia ngoma unazozpendaMpira wa kutolewa na Kaizer inayokaribia kushuka daraja?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wakiongozwa na YangaTimu zilizokamilika zinaendelea na mashindano ya Afrika.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hahaha 😂😂Hufatilii football. Endelea kufatilia ngoma unazozpenda
Labda nianze kukufuatilia wewe ndio utatuliza tak chini.Hufatilii football. Endelea kufatilia ngoma unazozpenda
Unadhani kwanini umeiongelea kaizer na sio yanga!Mpira wa kutolewa na Kaizer inayokaribia kushuka daraja?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Keizer ndio wa mwisho kuwabandua.Unadhani kwanini umeiongelea kaizer na sio yanga!