Na tambi nazo zimepanda bei, hii nchi sijui tunaenda wapi

Na tambi nazo zimepanda bei, hii nchi sijui tunaenda wapi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
FB_IMG_16569085548090266.jpg

Katika hali ya kushangaza mpaka tambi nazo wamechakachua. Kabla kulikuwa na tambi 450 kwenye pakiti moja Leo nimehasabu nimukuta tambi 410 yaani pungufu ya tambi 40.

Watanzania tushtukeni na jitahidi kuhesabu vitu kabla ya matumizi Kama viberiti na tambi.
 
Hivi kazi huwa unafanya saa ngapi mpaka unapata muda wa kuhesabu tambi na njiti za viberiti? Au huna kazi ya kufanya?
 
Back
Top Bottom