Centia2
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,018
- 1,640
Mara nyingi hatuziishi hesabu tulizofundishwa na walimu wetu wa DRS VII-CSasa si ungepima tu ujazo kwa mzani? Hiyo shida na muda wa kuhesabu tambi kwa tambi yote ya nini? Chukua mzani pima na lingalisha mchezo umeisha!