MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Akili za sukuma gang utaziweza kweli, huwa wanaupeo finyu sanaSasa si ungepima tu uzito kwa mzani? Hiyo shida na muda wa kuhesabu tambi kwa tambi yote ya nini? Chukua mzani pima na lingalisha mchezo umeisha!
Uongo!Njiti za kiberiti kwenye kibox kimoja zilikua njiti 100, ila Sasa hivi zipo 75...!!!
#YNWA
Acha hizo mkuuhatari sana, mnakulaje vitu vya ajabu kama hivyo
vipi shekhe, wewe mpembaAcha hizo mkuu
Hapana siyo mpemba, ila kukiita kitu cha ajabu kimeleta dosarivipi shekhe, wewe mpemba
sisi huku tarime kitafunio ni ugali wa mtama