Na tambi nazo zimepanda bei, hii nchi sijui tunaenda wapi

Huna akili , endelea kuimba mapambio ya chama cha majambazi , bloody idiot
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Kuna mwingine kasema mkate aina supa lofu nao wamepunguza siles
 
Silesi za mkate zilikuwa 14 sasa ziko 12 na wamepunguza chumvi.
 
mkuu acha nifanye hili zoezi kwenye sukari nitaleta mrejesho,kabla ya mwaka kuanza kilo moja ilikuwa na punje za sukari 23,345,200,196 kwa sukari nyembamba ya kawaida,na ile brown sugar ilikuwa ni 2,347,566,322 kwa kilo moja.

nimegundua pia kuna hujma katika matipa ya kubeba vifusi vya mchanga,embu wengine anzeni huko ninakuja pia.
 
Bei ilikuwa 1400 now ni 2000 ‘ bei ya jana…
 
Katengeneze zako Ili ushushe Bei..We jamaa tambi ukikula mara ya mwisho lini maana toka mwaka Jana zilishapanda.
 
Duh hatari sana Hili life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…