Na tambi nazo zimepanda bei, hii nchi sijui tunaenda wapi

Sasa si ungepima tu ujazo kwa mzani? Hiyo shida na muda wa kuhesabu tambi kwa tambi yote ya nini? Chukua mzani pima na lingalisha mchezo umeisha!
Mara nyingi hatuziishi hesabu tulizofundishwa na walimu wetu wa DRS VII-C
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tutahesabu hadi maji
Sukuma gang wanasema mabomba sasa hivi yanatoa maji membamba sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunaelekea canan nchi ya asali na maziwa,huko tutakua na afya na vitambi kama wanaccm
 
Sijawahi kufikiria kuhesabu hizo Kitu[emoji23][emoji23]

Maana nazivunja zikiwa ndani ya pakti na kuzitia ndani ya sufuria
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…