Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto simenti na mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani

nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
 
Wazee Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisga ngazi na ndoo zenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani
Ushaanza kuchanganyikiwa wewe, omba msaada kwa watu wako wa karibu kabla hali haijakuwa mbaya.
 
FB_IMG_17421140532222798.jpg
 
Kuna vitu nilisema sitovifanya na nikaja kuvifanya kwa hiyo "never say never"..

Hata hivyo, hakikisha una cha kulindia hiyo brand kabla ya kubeza kubeba zege. Hivyo, kama una skills, network na powerful surname. Una haki ya kusema hivyo
 
Back
Top Bottom