Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 6,090
- 22,803
Brand bila ya pesa ni upunga in the making.Nalinda brand sifanyi kazi za kishamba Mimi
Brand bila ya pesa ni upunga in the making.Nalinda brand sifanyi kazi za kishamba Mimi
We njaa tu inakusumbua ndio maana unaona hizi ni mbwembwe kumbe unanjaakaka huyo ana mbwembwe za kishamba tu, watu tuna vijiwe kadhaa na imara, ila still nachukua mzigo kufanya delivery.
naenda site kwenye chimbo kadhaa ili tu kupata info za ma deal na ili uaminike lazima uonekane ka wao.
Najua wapo ila kwa kauli zake ni ujinga mtupu wa kuji farijiKuna kauli nimeziona naona tu hayupo real.
Japo watu wa namna hiyo wapo
Pesa ipo nyingi sana labda we ndio pungaBrand bila ya pesa ni upunga in the making.
Kabisa... Njaa haijawa kali badoNajua wapo ila kwa kauli zake ni ujinga mtupu wa kuji fariji
njaa Ina pimwa kwa kipimo kipi?, coz hata hapa nilipo nina njaa ila huwezi uka I categorize ni ipi?We njaa tu inakusumbua ndio maana unaona hizi ni mbwembwe kumbe unanjaa
Kuchanganyikiwa kama wewe unaeona hizi ni mbwembwe wakati unijuinjaa Ina pimwa kwa kipimo kipi?, coz hata hapa nilipo nina njaa ila huwezi uka I categorize ni ipi?
Nilichogundua hapa ni kwamba haupo serious na mambo unayoandika hapa. Hata uandishi wa Uzi wako hauonyeshi kama we ni msomi. Umekazana na maneno mawili, kugonga mademu na kuvaa,....yaani hapo unaona hiyo ni Brand. Inaonyesha una chini ya miaka20...akili yako fupi kama chupiBeba wewe mshamba kutoka kijijini usiejua kuvaa na kugonga mademu Mimi siwezi kushusha brand
We wamekutindua nini?Angalia unakoelekea wataanza kukutindua wahuni,mtoto wa kiume unashinda gheto unajisifuu
Shibe mwana malevya, njaa mwana malegezaKabisa... Njaa haijawa kali bado
Tafuta chakula ule njaa isikuue .......🤣🤣🤣🤣 Kabebe zenge wakuja wewe
Vipi mzee wewe mpaka umri huo unautajiri Gani na uzee wako au ndio uzee tu bila pesa🤣🤣🤣🤣Nilichogundua hapa ni kwamba haupo serious na mambo unayoandika hapa. Hata uandishi wa Uzi wako hauonyeshi kama we ni msomi. Umekazana na maneno mawili, kugonga mademu na kuvaa,....yaani hapo unaona hiyo ni Brand. Inaonyesha una chini ya miaka20...akili yako fupi kama chupi
Chagua brand au maisha? Hiyo brand inakusaidia nini kama hakuletei kipato chochote?Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
Jamaa ka senge ety nashindwa ndani..... AstakafirullahChunga sana, usije ukauponza kwa hiyo mentality yako siku ukipata njaa vizuri..
Pesa ipo nyingi na brand ninayoChagua brand au maisha? Hiyo brand inakusaidia nini kama hakuletei kipato chochote?
Sure. Nilikua nashangaa sana nikimwona mama amepanda boda na watoto wadogo! Au mama mjamzito kwenye daladala! We yalinikuta mwaka 2017 wife akiwa mjamzito hatuna hata mia, Uber niliisahau na mtoto nimepanda nae boda mara nyingi. I'm glad kile kipindi kilipita na tupo safi kidogo. Ila siwezi judge nikiona mama ametoka kujifungua unakutana nae kwenye daladala!Kuna vitu nilisema sitovifanya na nikaja kuvifanya kwa hiyo "never say never"..
Hata hivyo, hakikisha una cha kulindia hiyo brand kabla ya kubeza kubeba dege. Hivyo, kama una skills, network na powerful surname. Una haki ya kusema hivyo
Sijafikia uzee, mi kijana mwenzio ila we ni kijana wa hovyo kinoma, naona unajisifia kukaa gheto na kugonga mademuVipi mzee wewe mpaka umri huo unautajiri Gani na uzee wako au ndio uzee tu bila pesa🤣🤣🤣🤣
Nenda Kabebe zege ni Kwa ajili yenu washamba mliotoka vijijini msiojua kupiga pamba Kali na kugonga mademu ni lazima muwe pundaSijafikia uzee, mi kijana mwenzio ila we ni kijana wa hovyo kinoma, naona unajisifia kukaa gheto na kugonga mademu