Sauti ya amani
Member
- Jul 19, 2022
- 74
- 124
Hii ndo comment nkawa naitafuta.Unachangamsha genge tu humu mkuu
Hii ndo comment nkawa naitafuta.Unachangamsha genge tu humu mkuu
Zamani mada kama hizi mtu alikuwa aanoogopa kuleta hapa JF sasa hizi mtu hawazi mara mbili.Jf inapoteza heshma yake kwa kasi sana
Kuonyesha ulivyo huna busara wala akili, ONA COMMENTS ZA WADAU zinavyokupondaInawezekana Mimi ni mtoto ila wewe ni kubwa jinga umekua umri na umbile tu
Lala tu chakula kitakuja kikiambatana na pamba kaliHapana aisee ndoo ya zege sibebi Bora nilale geto nashusha brand
ID yako ingine hu jf sio ile ambayo ulijifanya ww ni chief godlove, ukawa unaita watu maskini 🤔We njaa tu inakusumbua ndio maana unaona hizi ni mbwembwe kumbe unanjaa
Nakazia👿utoto raha sana
Hao unaowaita wewe wwadau Mimi kwangy ni ng'ombe tu wakiniponda nitapungukiwa Nini mzee Kila mtu na life lake duniani hapa mzee wewe wakuja nini unashangaa kupondwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuonyesha ulivyo huna busara wala akili, ONA COMMENTS ZA WADAU zinavyokuponda
View attachment 3283597
View attachment 3283603
View attachment 3283604
View attachment 3283606
View attachment 3283607
View attachment 3283608
View attachment 3283609
View attachment 3283610
ETC