Hakuna kazi ya kishamba wewe ndo mshamba na usomi wakoMimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
Badili degree kuwa pesa mm miliachana na masomo nikaenda kutengeneza pesa kwa elimu niliyokuwa nayoMzee mi sijasoma niwe fundi elimu yangu ni kubwa sana
Niwe na hasira ya nini wakati tayari nina ajira ya kubeba zege inayoniingizia kipato. Naendesha maisha yangu fresh tu kwa zege hili hili ambalo wewe hutaki/huwezi kubeba kwa kuwa ni msomi. Wewe endelea kulinda brand.Acha hasira we mbeba zege
Endelea kubeba zege a.k.a kuwa pundaHakuna kazi ya kishamba wewe ndo mshamba na usomi wako
Kwa akili hizi za wasomi ni Bora uende vetaMkuu Mimi brand yangu kubwa mtaani nimeburuza mademu wengi mpaka wake za watu halafu nibebe lindoo la zege hapana aisee Bora nilale geto
Utoto unaropoka ,utoto raha sana
Kijana brand wewe , hahahahaSio kweli mkuu siwezi kushusha brand
Njaa itakutia upepo wa adabuMimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
Brand bila hela wewe ni matonya aliechangamkaHapana aisee ndoo ya zege sibebi Bora nilale geto nashusha brand
Dah , Watoto dizaini hizi nawajua, mko radhi mfanye ....ili kulinda brand, take care kijana,Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
Usiposhushwa brand na hilo zege, NJAA ITAKUSHUSHA BRAND, TENA KWA AIBU HUKU UKIWA UMECHOKA MBAYAA SANAAA..!!!Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
Wewe itakua pungaDah , Watoto dizaini hizi nawajua, mko radhi mfanye ....ili kulinda brand, take care kijana,
Sio kweli mzeeUsiposhushwa brand na hilo zege, NJAA ITAKUSHUSHA BRAND, TENA KWA AIBU HUKU UKIWA UMECHOKA MBAYAA SANAAA..!!!
Sio kweliBrand bila hela wewe ni matonya aliechangamka
Punga wewe unayelinda brand () YakoWewe itakua punga
Ungeweka na sababu kwanini unasema siyo kweli.Sio kweli mzee
Pesa ninayo Sina njaaUngeweka na sababu kwanini unasema siyo kweli.