Njaa haijauma... ikikuuma vizuri ina maana hata ela ya hizo pamba kali utakuwa huna hivyo utajulikana kama mzee wa kupiga pamba zenye viraka na kandambili zisizofanana.Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba