Gifted
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 494
- 878
We endelea kushinda gheto?? tutakuja kukutinduaWe wamekutindua nini?
We endelea kushinda gheto?? tutakuja kukutinduaWe wamekutindua nini?
We umetinduliwa tayari?We endelea kushinda gheto?? tutakuja kukutindua
Sasa ndio mmeagizwa badala ya kulala Gheto na kulalama muende VETA muwe mafundi wazuri na muanzishe viwanda vya bidhaa mbalimbali mtengeneze fursa za ajira ili watu kama wewe wasibebe zege bali wabebe laptops.Mzee mi sijasoma niwe fundi elimu yangu ni kubwa sana
Acha hasira we mbeba zegeUkosefu wa Ajira umekuwa changamoto kubwa. Vijana wanaanza kuweweseka mitaani kama huyu mleta mada.
Sifanyi hizo mishe za kishamba Mimi ni brandSasa ndio mmeagizwa badala ya kulala Gheto na kulalama muende VETA muwe mafundi wazuri na muanzishe viwanda vya bidhaa mbalimbali mtengeneze fursa za ajira ili watu kama wewe wasibebe zege bali wabebe laptops.
YahFresh mwanetu unasema unalinda brand 😁
Maisha yana mengi sana mkuu. Siku hizi siwezi judge mtu maana kila mtu ana story na sababu za kuwa jinsi alivyoSure. Nilikua nashangaa sana nikimwona mama amepanda boda na watoto wadogo! Au mama mjamzito kwenye daladala! We yalinikuta mwaka 2017 wife akiwa mjamzito hatuna hata mia, Uber niliisahau na mtoto nimepanda nae boda mara nyingi. I'm glad kile kipindi kilipita na tupo safi kidogo. Ila siwezi judge nikiona mama ametoka kujifungua unakutana nae kwenye daladala!
Kabisa mkuuKama Taifa na sisi Jamii ni aibu na upuuzi wa hali ya juu kukusomesha kwa kodi zetu alafu kuacha kutumia nguvu kazi hio na kukufanyisha kazi ambayo tungekuwa na akili na busara tungetumia cranes au hata Pulleys ya kuhakikisha zege hiyo inafika ghorofani bila kuharibu afya za mwanajamii...
Unabeba Zege unapewa buku kumi kwa siku ingawa unaharibu afya au risk ya kutenguka kiuno ili BIMA (Taifa) likugharamikie mamilioni....
We have lost the Plot as a Country...; Na mchina akija akifanya hizi kazi huku tunalalamika kazi zetu zile za kina DP World Bandarini tunasema hatuwezi watufanyie... ili walete mashine watugawie faida
Kabisa.Maisha yana mengi sana mkuu. Siku hizi siwezi judge mtu maana kila mtu ana story na sababu za kuwa jinsi alivyo
Kuna experiences huwa sitaki kuzikumbuka
Siwezi kuwa punga maana siogopi maisha.Pesa ipo nyingi sana labda we ndio punga
Sifa ya mapunga ni kuzungumzia upunga pole sana mkuu Kwa yaliyokukutaSiwezi kuwa punga maana siogopi maisha.
Ila wewe ni prospective punga, pale utapokutwa na dilemma ya either kubeba zege ama kupakatwa ili ule, chances are you will opt for the latter in the name of kulinda brand.
Kabisa mkuuNiko pamoja na wewe mkuu,hata kama ajira hakuna lakini kubeba zege hapana.
Sio kweli nalinda brand mkuumaelezo yako yamekaa kinafiki, unawaponza vijana wenzio. unawapa morali ya uongo! lakin safi we linda brand meen!!.