Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hapana aisee ndoo ya zege sibebi Bora nilale geto nashusha brandBado njaa haijakupata
Ushaanza kuchanganyikiwa wewe, omba msaada kwa watu wako wa karibu kabla hali haijakuwa mbaya.Wazee Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisga ngazi na ndoo zenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani
SawaUshaanza kuchanganyikiwa wewe, omba msaada kwa watu wako wa karibu kabla hali haijakuwa mbaya.
Sawamapema sana
Mzee mi sijasoma niwe fundi elimu yangu ni kubwa sanaUmeambiwa nenda VETA
Nalinda brand sifanyi kazi za kishamba MimiHujashikwa wewe, nini zege, hata choo utatapisha kienyeji. Ile ya kuingia kwenye shimo la nyaa.
Ila ukitaka kulinda brand na wakati huo huo ule, kitakachoumia ni 🍑 lako.
Sio kweliMtaa hautambui Four Figures dogo.
Sio kweliHapo ushakula makoronya na soseji mbili
Sio kweli mkuu siwezi kushusha brandUna wachota wenzako ujinga