Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?
Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.
Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?