Na wao hulipwa posho za per diem?

Na wao hulipwa posho za per diem?

Ni heri angemchikua huyu akapate tiba ya stimu
Screenshot_20240604-153431.jpg
 
View attachment 3008287

Hii picha imenichekesha sana 🤣.

Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?

Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?

Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.

Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Wanalipwa. Na wakishalipwa wanarudi kuwalipa bodaboda wetu, bajaji, mama lishe, na makundi mengine ya watz masikini.
Kwangu mimi ni bora wakilipwa hao watazileta huku chini moja kwa moja kuliko akilipwa Mwigulu atazificha huko huko nje. Waacheni na wao wafaidi keki
 
Sikuwa mshabiki saana na staili ya uongozi wa JPM, lakini kwenye suala la safari za nje zisizoisha nilimwunga mkono 100%. Hivi kweli kwa utitiri kulikuwa na kujadiliana ama kupewa maelekezo ya nini wakorea wanatupa? Hapa tunatoa picha ya kutokuwa na uongozi madhubuti, wenye kujielewa na kujiamini.
Mimi bado hata sijui ambacho Wakorea wanakijua kuhusu uigizaji na ambacho sisi hatukijui mpaka kumlazimu rais aende na rundo la waigizaji wa Kitanzania huko Korea!

Wanachokijua wao na ambacho sisi hatukijui ni kipi hasa?
 
View attachment 3008287

Hii picha imenichekesha sana 🤣.

Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?

Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?

Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.

Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Hao walioko kwenye row ya pili na tatu wapewe karanga tafadhali.
 
Kuna muda ukitafakari mambo ya nchi hii unaweza ukajikuta unadondoka na kufariki moja kwa moja.........

Unaweza ukajikuta unaongea maneno makali na kujikuta nyuma ya nondo tu..........

Ngoja tumuachie Mungu tu.......
 
Back
Top Bottom