Na wao hulipwa posho za per diem?

Na wao hulipwa posho za per diem?

Kulikuwa na faida gani kwa rais wa nchi kuambatana na wasanii katika ziara yake? What's so special about them in government concerns?
Kalamu
KENZY
JokaKuu
Nyani Ngabu
Mkuu hawapo special ila nao ni watanzania wenzetu, Rais kaona awatoe nao watembee, ziara nyingine atachukuwa wakulima na wavuvi na kadhalika. Hakuna sheria iliyovunjwa Mkuu, tulia waigizaji na walambe keki ya Taifa! Chuki ya nini.
 
Kulikuwa na faida gani kwa rais wa nchi kuambatana na wasanii katika ziara yake? What's so special about them in government concerns?
Kalamu
KENZY
JokaKuu
Nyani Ngabu
Mkuu hawapo special ila nao ni watanzania wenzetu, Rais kaona awatoe nao watembee, ziara nyingine atachukuwa wakulima na wavuvi na kadhalika. Hakuna sheria iliyovunjwa Mkuu, tulia waigizaji na walambe keki ya Taifa! Chuki ya nini. K
Hakuna kabisa haja ya Samia kuambatana na wasanii kwenye ziara zake za nje ya nchi.

Hao wasanii wanaweza kwenda peke yao bila kuandamana na Rais.
Mkuu unasahau Rais Samia ni actor in chief, kuambatana na wasanii ni jambo jema tu, hakuna sheria iliyonjwa na sio kweli kuwa wasanii hawana uwezo wa kiakili. Dharau zingine kwa watanzania wenzio hazifai Mkuu!!!
 
Huku ni kuhujumu uchumi wa nchi. Dreamliner imepaki Korea siku ya tano leo bila kufanya ratiba yake ya China kisa inangojea kijiji cha wasanii na machawa walioko kwenye mkutano na wakorea wachache ukumbini....Hii aibu gani hii?
Mkuu hakuna ubaya, chuki ya nini!!! Toa mchanganuo wa gharama iliyotakiwa kutumika na iliyopitiliza ili tukusome vizuri kuhusu uhujumu uchumi. Chuki haimuachi mwenye nayo salama!
 
Mkuu sio kila picha unayo ione inahusu majadiliano ya Kiserikali, sema wabongo tunachonga saana!
Basi tuambie wewe mkuu hayo yalikuwa majadiliano ya nini na bendera yetu na Rais wetu vinafanya nini hapo
 
CCM ni janga kubwa,kazi yao kubwa ni kuhakikisha wanaendelea kubaki madarakani tu basi.
Kugharamia vikundi kama hivyo ni rushwa tu hakuna kingine kilichowasukuma ccm kufanya hivyo wala usifikiri wanawapenda sana hao wasanii wala nini.
 
nywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?
Ndio, tena in USD
U
chaguzi unakaribia wanataka wawabebe ILA wamesahau kuwa hawa wasanii wanajua kuimba nyimbo za kitandani tu na hakuna kingine!
 
Mkuu hakuna ubaya, chuki ya nini!!! Toa mchanganuo wa gharama iliyotakiwa kutumika na iliyopitiliza ili tukusome vizuri kuhusu uhujumu uchumi. Chuki haimuachi mwenye nayo salama!
Hakuna chuki hapa, nimeandika ukweli uliobayana kwamba kuna matumizi mabaya ya mali ya umma yanayoashiria kuhujumu sekta nyingine. Huo ndio ukweli na sihitaji kumuonea haya mtu kwenye hili. Nalipa Kodi Ili itumike vizuri sio kama hivi.
 
Basi tuambie wewe mkuu hayo yalikuwa majadiliano ya nini na bendera yetu na Rais wetu vinafanya nini hapo

Hakuna chuki hapa, nimeandika ukweli uliobayana kwamba kuna matumizi mabaya ya mali ya umma yanayoashiria kuhujumu sekta nyingine. Huo ndio ukweli na sihitaji kumuonea haya mtu kwenye hili. Nalipa Kodi Ili itumike vizuri sio kama hivi.
🙏
 
Back
Top Bottom