Unajua kwanini nakuita una akili za kimasikini!?Masikini! Sifa mojawapo ya Masikini ni kuchukia tu watu wengine wakipata. Alikuharibu yule Shetani la Chattle aliyekuwa hapendi watu wakipata.
Badilika
Mtu mwenye akili za kimasikini kama wewe ana sifa kuu mbili ama tatu;
1)Huwa ana mawazo ya kibinafsi kwa kujitizama yeye.
2)Huwa hafikirii mbali yani hana fikra za mbali za upeo.
3)Huchukulia mambo kuwa ni kibinafsi zaidi yani PERSONAL.
Hili sio jambo personal.
Huyo kiongozi wa nchi,pesa zilizotumika ni kodi.
Hili taifa linapitia ukata wa fedha na kutokukamilika kwa miradi muhimu.
Watu wanakaa kutoa mawazo chanya wewe unaona kama wanaonea watu wivu wamepata.
Hao kina Lulu mbona hatukuwasema walipokua wanaigiza na kufanya mambo yao mengine!?
Kwanini tumseme rais akienda nao Korea!?
Ulikaa ukajiuliza hilo!?
Usikute nabishana na mchumia tumbo ambaye kwake chochote sawa tu ilimradi apate pesa.
SUCH A DUNDERHEAD.