Na wao hulipwa posho za per diem?

Na wao hulipwa posho za per diem?

Sipati picha eti Julius Nyerere au Benjamin Mkapa ashiriki kikao nje ya nchi na waigizaji wa filamu za bongo movie na Korean soap operas.
Ila Mkapa, hivi inawezekana maisha yake baada ya kuajiriwa alipata fursa ya hata ya siku tatu kustarehe!!
 
View attachment 3008287

Hii picha imenichekesha sana 🤣.

Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?

Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?

Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.

Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Hata wasipolipwa per-diem, serikali imelazimika kutumia ndege kubwa ya Boeing na kureserve hotel kubwa ya kutosha ujumbe wa Tanzania kwa ajili yao, na hivyo kuongeza gharama za serikali.
 
Aiseee ona huyu anazungumzia nini!
Kwa akili zako hayo matumizi uliyoyaainisha ni mnufaiko mkubwa ama mnufaiko mdogo wa jamii!?
Kwani mie nilisema pesa walipwe viongozi wa serikali!?
Kwa bajeti ya kusafiri na hao wasanii jumlisha gharama ya vyakula na malazi jumlisha na posho kama watapewa,unajua hizo pesa zingesaidia wapi kwa kiasi kikubwa kwa raia!?
Tanzania bado kuna vijiji kibao maji shida,kuchimba kisima kirefu plus mtambo wa kusafisha maji ni milioni 47-50.
Je unajua kwa hizo pesa visima vingapi vingechimbwa!?
Jinga kabisa.
Hizo ni shida za kawaida sn Africa nzima. Haziwezi kuisha eti kwa kuzuia ziara za wasanii nje ya nchi. Acha wivu. Kama ww huna ndugu ama rafiki kwenye msafara huo tuache.! We baki na gubu lakonkwa kudhani yupo anayeweza kubaliza shida zenu
 
Kwa hiyo hao nao ni diplomats wa Tanzania?
Sijui tulimkosea nini Mungu sisi watanzania kwa kutupa misalaba ya viongozi wasio na focus kama huyu aliyepo kwa sasa.
Una hasara ww ambaye unakiri kuongozwa na Kiongozi asiye na focus na still upo upo tu, si urudi kwenu kwa Kiongozi mwenye focus!?
 
Hizo ni shida za kawaida sn Africa nzima. Haziwezi kuisha eti kwa kuzuia ziara za wasanii nje ya nchi. Acha wivu. Kama ww huna ndugu ama rafiki kwenye msafara huo tuache.! We baki na gubu lakonkwa kudhani yupo anayeweza kubaliza shida zenu
Maji safi unaita shida za kawaida!?
😂😂😂😂Kweli raia masikini wa fikra kama wewe ndio mtaji wa CCM.
Umaskini wa kipato kwa mtu mmoja mmoja hilo ndilo jambo la kawaida,maana huwezi kufanya watu wote tajiri,ila sio suala la maji kijana.
Embu kuwa na exposure hata kidogo.
Kwanini niwe na wivu?
Sasa hao kina Lulu na Gigy wasanii au MALAYA WANAOJIFICHA NYUMA YA SANAA??
Au siku hizi kusema ukweli imekua wivu!?
Ukoo wetu ni ukoo wa descent jobs kijana.
 
Kwa hiyo hao nao ni diplomats wa Tanzania?
Sijui tulimkosea nini Mungu sisi watanzania kwa kutupa misalaba ya viongozi wasio na focus kama huyu aliyepo kwa sasa.
Na kuna mpumbavu wa fikra anakwambia eti ni sawa na ukiwasema unawaonea wivu.
😂😂😂Kuna mijitu ji MIPUMBAVU.
 
Kama serikali ndo inagharamia gharama za hao wasanii kwenye hiyo safari, hayo ni matumizi mabaya sana ya kodi za wananchi.
frankly speaking, samia hana sifa hata za kuwa mkuu wa wilaya, sijui kwanini amefika hapo!
nchi hii akili ndogo ndio zinatuongoza, matokeo yake ndio haya!
 
Maji safi unaita shida za kawaida!?
😂😂😂😂Kweli raia masikini wa fikra kama wewe ndio mtaji wa CCM.
Umaskini wa kipato kwa mtu mmoja mmoja hilo ndilo jambo la kawaida,maana huwezi kufanya watu wote tajiri,ila sio suala la maji kijana.
Embu kuwa na exposure hata kidogo.
Kwanini niwe na wivu?
Sasa hao kina Lulu na Gigy wasanii au MALAYA WANAOJIFICHA NYUMA YA SANAA??
Au siku hizi kusema ukweli imekua wivu!?
Ukoo wetu ni ukoo wa descent jobs kijana.
Baki kulalama sie twala. Ikikuuma sn hama nchi. Acha watu wale, we subiri aje Rais mwingine akupelekee hayo maji kijijini kwenu
 
frankly speaking, samia hana sifa hata za kuwa mkuu wa wilaya, sijui kwanini amefika hapo!
nchi hii akili ndogo ndio zinatuongoza, matokeo yake ndio haya!
Katika raia wote wa taifa hili yuko mtu moja aliona kuwa huyo ndiye anafaa kuwa mgombea mwenza kwa kiti cha Urais! Naomba tusisahau kuwa ndege wafananao huruka pamoja.
 
Back
Top Bottom