Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hivi na Gigy Money yupo kwenye huu msafara.View attachment 3008287
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?
Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.
Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Kwanini useme workdone is almost equal to zero? Kwamba huoni matumizi ya hao walioambatana nao yanatugharimu?Lundo la watu lakini workdone is almost equal to ZERO...
Hawa wenzetu wa nchi za kigeni bila shaka hutuona Watanganyika kama mazuzu fulani hivi eti eeh?
Ndio maana anakusanya "shahada zuga za heshima" kibao ili kupumbazwa naye anaona ni heshima hiyo kumbe ujinga mtupu..!
Sasa hebu angalia. Hawa watu wote wanafanya nini humo chumbani kiasi cha kusimamiana mwingine mbele, mwingine nyuma?
Tunaambiwa hao waigizaji wameenda kujifunza huko Korea.Kodi yako hiyo mkuu inatumiwa na Lulu na genge lake la MACHAWA
Wazungu wakituita baboon tunafura!Mambo mengine tunajiabisha sana, huenda waafrika bado tupo kwenye evolution.
namuona kule nyuma kwa mbaaaaliiiiiHivi na Gigy Money yupo kwenye huu msafara.
Kabisa!Notice kwamba hawa watahusika kwenye kampeni.
Tunachoma vibaka moto na kuyaacha majizi ya matrion yanadundaView attachment 3008287
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?
Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.
Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Sikuwa mshabiki saana na staili ya uongozi wa JPM, lakini kwenye suala la safari za nje zisizoisha nilimwunga mkono 100%. Hivi kweli kwa utitiri kulikuwa na kujadiliana ama kupewa maelekezo ya nini wakorea wanatupa? Hapa tunatoa picha ya kutokuwa na uongozi madhubuti, wenye kujielewa na kujiamini.View attachment 3008287