Na wao hulipwa posho za per diem?

Wanalipwa. Na wakishalipwa wanarudi kuwalipa bodaboda wetu, bajaji, mama lishe, na makundi mengine ya watz masikini.
Kwangu mimi ni bora wakilipwa hao watazileta huku chini moja kwa moja kuliko akilipwa Mwigulu atazificha huko huko nje. Waacheni na wao wafaidi keki
 
Mimi bado hata sijui ambacho Wakorea wanakijua kuhusu uigizaji na ambacho sisi hatukijui mpaka kumlazimu rais aende na rundo la waigizaji wa Kitanzania huko Korea!

Wanachokijua wao na ambacho sisi hatukijui ni kipi hasa?
 
Hao walioko kwenye row ya pili na tatu wapewe karanga tafadhali.
 
Kuna muda ukitafakari mambo ya nchi hii unaweza ukajikuta unadondoka na kufariki moja kwa moja.........

Unaweza ukajikuta unaongea maneno makali na kujikuta nyuma ya nondo tu..........

Ngoja tumuachie Mungu tu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…