Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Apr 18, 2025 #1 Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa wanatangaza utalii.
Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa wanatangaza utalii.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,477 Reaction score 40,278 Apr 18, 2025 #2 Wewe unaumia nini?
Ndondocha mkuu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,518 Reaction score 3,041 Apr 18, 2025 #3 Tz to nigeria yaweza kuwa ni 2,6000,000 go and return, sasa watu 20 ni kama milioni 46, sasa jux imshinde hyo?
Tz to nigeria yaweza kuwa ni 2,6000,000 go and return, sasa watu 20 ni kama milioni 46, sasa jux imshinde hyo?
Awakener The Lone Wolf JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 259 Reaction score 233 Apr 18, 2025 #4 Wivu unakusumbua
N Nuru2023 JF-Expert Member Joined May 2, 2023 Posts 709 Reaction score 1,548 Apr 18, 2025 #5 Kweli wewe ni chizi kama ID yako... heal kijana
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,798 Reaction score 3,331 Apr 18, 2025 #6 Wajinga ndiyo waliwao kekundu kekundu
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,851 Reaction score 9,372 Apr 18, 2025 #7 Acha wivu kijana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 18, 2025 #8 Inawezekana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 19, 2025 #9 Mambo yake muachie mwenyewe... Cc: Mahondaw
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Apr 19, 2025 #10 Ahaaa