Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

Kwakuwa mnalalamika Sana ,
Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
Itategemeana na dar es salaam unafanya shughuli gani . Kuna watu wapo dar es salaam kwenye biashara na wamefanikiwa vizuri na wanatuma pesa Nyumbani pia kuna wengine wapo na ajira katika taasis mbalimbali na wanatuma pesa Nyumbani na wengine wanaopata pesa kidogo na wanatuma Nyumbani kwao
.kutoa ni Moyo kwa kifupi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
JF ukiamua kununa
umependa mwenyewe
 
Kwa mantiki hii, kumbe nyote (wote?!!) mpo sahihi. Mlichotofautiana ni angle tu ya kuingilia. So far, kila mmoja ameeleza kitu sahihi kabisa.
 
Tatizo nahisi ni zile gari za mkopo tunazotimbaga nazo bush,na siunajua Kwa mbongo ukiwa na nyumba na gari wewe tajiri.
 
Anasa zinawaponza vijana sio kwamba pesa za kutuma nyumbani hawapati ila starehe ndi kipaumbele
 
Dar labd nije kutembea lkn mazingira ya kuishi binadamu mwenye akili timamu yamekaa kimazingara.
Kwakuwa mnalalamika sana,

Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
 
Acha janjajanja tuma hela kwenu wanakutegemea kwani si uliaga unakuja mjini kutafuta maisha[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…