DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Itategemeana na dar es salaam unafanya shughuli gani . Kuna watu wapo dar es salaam kwenye biashara na wamefanikiwa vizuri na wanatuma pesa Nyumbani pia kuna wengine wapo na ajira katika taasis mbalimbali na wanatuma pesa Nyumbani na wengine wanaopata pesa kidogo na wanatuma Nyumbani kwaoKwakuwa mnalalamika Sana ,
Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
.kutoa ni Moyo kwa kifupi