Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

Kwakuwa mnalalamika Sana ,
Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
Itategemeana na dar es salaam unafanya shughuli gani . Kuna watu wapo dar es salaam kwenye biashara na wamefanikiwa vizuri na wanatuma pesa Nyumbani pia kuna wengine wapo na ajira katika taasis mbalimbali na wanatuma pesa Nyumbani na wengine wanaopata pesa kidogo na wanatuma Nyumbani kwao
.kutoa ni Moyo kwa kifupi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
JF ukiamua kununa
umependa mwenyewe
 
Sielewi ulichaondika unazunguka sana😅😅..
Nakuelewesha ana maanisha kwanza Dar kuna maisha ya hanasa na ya juu sana yaani unaweza kupata pesa yote ikaisha hii ni dhidi ya mikoa yote ya Tanzania...Kwamba Dar unapata pesa ila still matumizi ni makubwa na gharama za maisha.

Unaijua gharama za maisha ya New york wangapi wanaishi huko miaka hata 10 ila pesa hawatumi bongo..Sio kwamba hawazipati ila wanatumia gharama za maisha zipo juu.


New york ina gharama za maisha ya juu kuliko Dar unaweza kuwa unapata $3,000 kwa mwezi ila ikaisha yote kweny matumizi na usitume kwenu ila hyo pesa ukipata ukiwa dar ni ndefu hata kujenga kwenu fasta ..

"sembuse" kuonyesha kitu fulani ni dhaifu dhidi ya mwenzie .katika gharama za maisha Dar ni dhaifu dhidi ya Ne York (kuna maisha ya gharama sana)
Kwa mantiki hii, kumbe nyote (wote?!!) mpo sahihi. Mlichotofautiana ni angle tu ya kuingilia. So far, kila mmoja ameeleza kitu sahihi kabisa.
 
Tatizo nahisi ni zile gari za mkopo tunazotimbaga nazo bush,na siunajua Kwa mbongo ukiwa na nyumba na gari wewe tajiri.
 
Anasa zinawaponza vijana sio kwamba pesa za kutuma nyumbani hawapati ila starehe ndi kipaumbele
 
Dar labd nije kutembea lkn mazingira ya kuishi binadamu mwenye akili timamu yamekaa kimazingara.
Kwakuwa mnalalamika sana,

Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
 
Acha janjajanja tuma hela kwenu wanakutegemea kwani si uliaga unakuja mjini kutafuta maisha[emoji23]
 
Back
Top Bottom