Na wewe umepokea ujumbe huu wa tozo za huduma ya Simbanking?

Reginald L. Ishala

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2011
Posts
3,810
Reaction score
6,789
U hali gani, Mwana JamiiForums

Nimepokea ujumbe toka Tigo Tanzania unaosema,

Ndugu, Mteja! Kuanzia JULY 26, 2021 kutakuwa na tozo ya Sh 100 kupitia salio la kawaida la muda wako wa maongezi kwa kila atakayetumia huduma yoyote ya Simbanking sanjari na kuangalia salio.

Je, Na wewe umepokea ujumbe huo?

Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…