Na wewe umepokea ujumbe huu wa tozo za huduma ya Simbanking?

Na wewe umepokea ujumbe huu wa tozo za huduma ya Simbanking?

Nimepokea hio meseji.

Nilivyofahamu mimi ni vile ukipiga *150*01# ukichagua huduma za kibenki, ukichagua benki yako tu unakatwa 100 tayari. Yaani imagine unaingia mgahawani unaambiwa ili tukupe menu ulipe 100!

Serikali inasema #MlipoTupo 😀
 
Back
Top Bottom