C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,188 Reaction score 6,244 Jul 25, 2021 #41 Nimepokea hio meseji. Nilivyofahamu mimi ni vile ukipiga *150*01# ukichagua huduma za kibenki, ukichagua benki yako tu unakatwa 100 tayari. Yaani imagine unaingia mgahawani unaambiwa ili tukupe menu ulipe 100! Serikali inasema #MlipoTupo 😀
Nimepokea hio meseji. Nilivyofahamu mimi ni vile ukipiga *150*01# ukichagua huduma za kibenki, ukichagua benki yako tu unakatwa 100 tayari. Yaani imagine unaingia mgahawani unaambiwa ili tukupe menu ulipe 100! Serikali inasema #MlipoTupo 😀
Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 3,482 Reaction score 4,673 Jul 25, 2021 #42 Magufuli kaacha hazina kweupe jamani, Ni vile Rais anahofia kulisema Hilo adhalani
Reginald L. Ishala JF-Expert Member Joined Jun 18, 2011 Posts 3,810 Reaction score 6,789 Jul 25, 2021 Thread starter #43 Black belts said: Magufuli kaacha hazina kweupe jamani, Ni vile Rais anahofia kulisema Hilo adhalani Click to expand... Mkuu, Kwa hiyo wamechukua jitihada za makusudi ili watunishe mfuko!?! Kama ni hivyo basi hazina itune.
Black belts said: Magufuli kaacha hazina kweupe jamani, Ni vile Rais anahofia kulisema Hilo adhalani Click to expand... Mkuu, Kwa hiyo wamechukua jitihada za makusudi ili watunishe mfuko!?! Kama ni hivyo basi hazina itune.